mirror of
https://github.com/d4rken-org/capod.git
synced 2026-09-16 11:16:12 -04:00
Pull latest translations for app store listings from Crowdin. Validated and reverted any problematic changes.
18 lines
651 B
Plaintext
18 lines
651 B
Plaintext
CAPod ni programu ya rafiki ya AirPods.
|
|
|
|
Sifa:
|
|
|
|
* Kiwango cha betri kwa pods na vituo.
|
|
* Hali ya kuchaji kwa pods na kesi.
|
|
* Taarifa za ziada kuhusu muunganisho, maikrofoni na kesi.
|
|
* Inaweza kupokea na kuonyesha vifaa vyote vilivyo karibu.
|
|
* Kuchunguzwa kwa sikio na kucheza/kusimamisha kiotomatiki.
|
|
* Kuunganisha kifaa na AirPods kiotomatiki.
|
|
* Kuonyesha popup wakati kesi inafunguliwa.
|
|
|
|
CAPod haina tangazo. Baadhi ya sifa zinahitaji ununuzi wa ndani ya programu.
|
|
|
|
AirPods na vifaa vya Beats vingi vya kawaida vinasimamiwa.
|
|
Ikiwa kifaa chako ni sawa na AirPods lakini bado hakisimamiwi, nitumie barua mfupi.
|
|
|
|
Una wazo nzuri la sifa mpya? Wasiliana! |